Call: +255 22 2668992

News List

news & article


Notice: Trying to get property 'slug' of non-object in /var/www/html/tovuti/wp-content/themes/edmento/framework-customizations/extensions/shortcodes/shortcodes/news/views/list.php on line 27
News image

Wafanyakazi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), wameungana na wafanyakazi wengine nchini kuadhimisha siku ya wafanyakazi duniani Mei Mosi 2024, ikiwa na kauli mbiu ya “Nyongeza ya Mshahara ni Msingi wa Mafao Bora na Kinga dhidi ya hali ngumu ya maisha.”

Menejimenti ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) yaaswa kutumikia nyadhifa zao kwa weledi na kwa kushirikiana na mamlaka husika zilizopo chini na juu yao katika kuchukua ushauri na maoni ili kuiendesha taasisi kwa weledi kwa kufuata miongozo na sheria zilizowekwa kukiongoz...

Read More