Picha: Watumishi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) kutoka Makao Makuu, wajumuika na Wanawake wengine wa mkoa wa Dar Es Salaam katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake Duniani Machi 8, 2022 katika viwanja vya Uhuru jijini Da Es Salaam ambapo maadhimisho hayo yamefanyika kimkoa.