Kongamano la Maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara.
“Kongamano la Maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara, lafanyika mkoani Iringa katika ukumbi wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Mkwawa (MUCE), wakishirikiana na Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) na Chuo Kikuu Kishiriki cha Dar Es Salaam (DUCE).”