Call: +255 22 2668992

Archive

Kwa wanajumuiya wote wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (Wanafunzi na Wafanyakazi), Kurugenzi ya Utafiti, Machapisho na Ubunifu inatoa wito kwa wabunifu wote kujitokeza kwa ajili ya maonesho ya TCU yatakayofanyika tarehe 17-22 Julai, 2023. Bunifu zinazotarajiwa ni zile zinazoweza kuoneshwa au kama tayari kuna sampuli kifani (Prototypes) Tarehe...

read more