Baraza la Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), limeridhika na utendaji kazi wa vitengo mbalimbali vya chuo ambao unachagizwa na ubunifu, ushirikiano, weledi, maarifa, ujuzi, uzingativu wa maadili, sheria, kanuni na miongozo na nidhamu ya hali ya juu ya watumishi wake. Hay...