Menejimenti ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) imeipongeza serikali ya wanafunzi wa OUT kwa utendaji kazi wake bora na ushirikiano wake wa karibu na uongozi wa chuo, unaofanya mambo magumu kwa wanafunzi kuwa mepesi na yenye kutatulika. Hayo yamedhihiri Aprili 18, 2024...
![SERIKALI YA WANAFUNZI OUT YAPONGEZWA KWA UTENDAJI KAZI BORA](https://out.ac.tz/wp-content/uploads/2024/04/KigomaInfo10-scaled.jpg)